Waefeso 2:8 - Linganisha Matoleo Yote
Waefeso 2:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Maana, kwa neema ya Mungu mmekombolewa kwa njia ya imani. Jambo hili si matokeo ya juhudi zenu, bali ni zawadi ya Mungu.
Shirikisha
Waefeso 2 BHNWaefeso 2:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu
Shirikisha
Waefeso 2 SUVWaefeso 2:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu
Shirikisha
Waefeso 2 SRUVWaefeso 2:8 NEN (Neno)
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kupitia kwa imani, nayo haikutokana na ninyi wenyewe. Hii ni zawadi kutoka kwa Mungu
Shirikisha
Waefeso 2 NEN