Waefeso 3:20
Waefeso 3:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Basi kwa yeye awezaye kutenda mambo ya ajabu yasiyopimika kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya uweza wake ule utendao kazi ndani yetu
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwake yeye ambaye kwa nguvu yake ifanyayo kazi ndani yetu aweza kufanya mambo makuu zaidi ya yale tuwezayo kuomba au kufikiria
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu
Shirikisha
Soma Waefeso 3