Waefeso 4:26 - Linganisha Matoleo Yote
Waefeso 4:26 BHN (Biblia Habari Njema)
Kama mkikasirika, msikubali hasira yenu iwafanye mtende dhambi, na wala msikae na hasira kutwa nzima.
Shirikisha
Waefeso 4 BHNWaefeso 4:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka
Shirikisha
Waefeso 4 SUVWaefeso 4:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Muwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka
Shirikisha
Waefeso 4 SRUVWaefeso 4:26 NEN (Neno)
Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika
Shirikisha
Waefeso 4 NEN