Waefeso 4:26-27
Waefeso 4:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama mkikasirika, msikubali hasira yenu iwafanye mtende dhambi, na wala msikae na hasira kutwa nzima. Msimpe Ibilisi nafasi.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Muwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka; wala msimpe Ibilisi nafasi.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:26-27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka; wala msimpe Ibilisi nafasi.
Shirikisha
Soma Waefeso 4