Waefeso 4:32
Waefeso 4:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe nyinyi kwa njia ya Kristo.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkasameheane kama Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:32 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkasameheane kama na Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi.
Shirikisha
Soma Waefeso 4