Waefeso 6:10-11
Waefeso 6:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Hatimaye, nawatakeni muwe imara katika kuungana na Bwana na kwa msaada wa nguvu yake kuu. Vaeni silaha anazowapeni Mungu mpate kuzipinga mbinu mbaya za Ibilisi.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:10-11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu ili kwamba mweze kuzipinga hila za ibilisi.
Shirikisha
Soma Waefeso 6