Waefeso 6:13
Waefeso 6:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa hiyo vaeni silaha zote za Mungu ili mweze kushindana siku ya uovu itakapokuja nanyi mkiisha kufanya yote, simameni imara.
Shirikisha
Soma Waefeso 6