Waefeso 6:14-15
Waefeso 6:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kaeni tayari. Ukweli na uwe kama mkanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani, na hamu ya kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu.
Shirikisha
Soma Waefeso 6