Waefeso 6:16
Waefeso 6:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Zaidi ya hayo yote, imani iwe daima kama ngao mikononi mwenu, iwawezeshe kuizima mishale ya moto ya yule Mwovu.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.
Shirikisha
Soma Waefeso 6