Waefeso 6:16-17
Waefeso 6:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:16-17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Zaidi ya haya yote, twaeni ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu.
Shirikisha
Soma Waefeso 6