Waefeso 6:4
Waefeso 6:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maagizo ya Bwana.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana.
Shirikisha
Soma Waefeso 6