Esta 1:1
Esta 1:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Zamani za Ahasuero; naye huyu Ahasuero alimiliki toka Bara Hindi mpaka Kushi, juu ya majimbo mia na ishirini na saba
Shirikisha
Soma Esta 1Esta 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Ahasuero, alipotawala ufalme wake ulikuwa mikoa 127, toka India hadi Kushi.
Shirikisha
Soma Esta 1