Esta 2:17
Esta 2:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
Shirikisha
Soma Esta 2Esta 2:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme alipendezwa zaidi na Esta kuliko alivyopendezwa na wanawake wengine wote. Alipendwa sana kuliko wasichana wengine. Basi, mfalme akamvika taji ya kimalkia kichwani, akamfanya malkia badala ya Vashti.
Shirikisha
Soma Esta 2