Esta 3:2
Esta 3:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nao watumishi wote wa mfalme, walioketi mlangoni pa mfalme, wakainama na kumsujudia Hamani, maana ndivyo alivyoamuru mfalme kwa habari zake. Bali Mordekai hakuinama, wala kumsujudia.
Shirikisha
Soma Esta 3Esta 3:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Maafisa wote wa mfalme waliokaa langoni mwa mfalme walipiga magoti na kumpa Hamani heshima, kwa kuwa mfalme alikuwa ameamuru hili kuhusu Hamani. Lakini Mordekai hakumpigia magoti wala kumheshimu.
Shirikisha
Soma Esta 3