Esta 5:2
Esta 5:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa, mfalme alipomwona malkia Esta amesimama uani, yeye akapata kibali machoni pake; naye mfalme akamnyoshea Esta fimbo ya dhahabu aliyokuwa nayo mkononi. Basi Esta akakaribia, akaigusa ncha ya fimbo.
Shirikisha
Soma Esta 5Esta 5:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme alipomwona malkia Esta amesimama uani, alipendezwa naye, akamnyoshea fimbo ya dhahabu aliyokuwa ameshika mkononi mwake. Esta akakaribia, akagusa ncha ya fimbo.
Shirikisha
Soma Esta 5