Esta 5:3
Esta 5:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mfalme akamwambia, Malkia Esta, wataka nini? Nayo ni haja gani uliyo nayo? Utapewa hata nusu ya ufalme.
Shirikisha
Soma Esta 5Esta 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo mfalme akauliza, “Unataka nini Esta? Niambie unachotaka, nawe utapata – hata kama ni nusu ya ufalme wangu.”
Shirikisha
Soma Esta 5