Esta 6:10
Esta 6:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi mfalme akamwambia Hamani, Hima! Twaa mavazi na farasi kama ulivyosema, ukamfanyizie vivyo hivyo Mordekai, Myahudi, aketiye mlangoni pa mfalme; lisipungue neno lo lote katika yote uliyoyasema.
Shirikisha
Soma Esta 6Esta 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo mfalme akamwambia Hamani, “Fanya haraka! Chukua mavazi hayo na farasi, ukamtunukie heshima hii Mordekai, Myahudi ambaye hukaa penye lango la ikulu. Usiache kumfanyia hata jambo moja kati ya hayo uliyoyataja.”
Shirikisha
Soma Esta 6