Esta 6:6
Esta 6:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Hamani akaingia. Mfalme akamwambia, Afanyiziwe nini yule ambaye mfalme apenda kumheshimu? Hamani akasema moyoni mwake, Ni nani ambaye mfalme apenda kumheshimu kuliko mimi?
Shirikisha
Soma Esta 6Esta 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Hamani alipoingia ndani, mfalme akamwuliza, “Je, nimfanyie nini mtu ambaye ningependa sana kumtunukia heshima?” Hamani akafikiria moyoni mwake: “Ni nani huyo ambaye mfalme angependa kumtunukia sana heshima? Bila shaka ni mimi.”
Shirikisha
Soma Esta 6