Esta 7:3
Esta 7:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Malkia Esta akamjibu, “Kama nimepata upendeleo kwako, ewe mfalme, na ukiwa radhi kunitimizia ombi langu, haja yangu ni mimi niishi na watu wangu pia.
Shirikisha
Soma Esta 7Esta 7:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo malkia Esta alipojibu, akasema, Ikiwa nimepata kibali machoni pako, Ewe Mfalme, na ikimpendeza mfalme, hebu nipewe maisha yangu kwa ombi langu, na watu wangu kwa maombi yangu.
Shirikisha
Soma Esta 7