Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 10:17 - Linganisha Matoleo Yote

Kutoka 10:17 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa hiyo sasa ninawasihi mnisamehe dhambi yangu, mara hii moja tu, mkaniombee kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aniondolee kifo hiki.”

Shirikisha
Kutoka 10 BHN

Kutoka 10:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi sasa, nawasihi, nisameheni dhambi yangu mara hii moja tu, mkamwombe BWANA, Mungu wenu, aniondolee kifo hiki tu.

Shirikisha
Kutoka 10 SUV

Kutoka 10:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi sasa, nawasihi, nisameheni dhambi yangu mara hii moja tu, mkamwombe BWANA, Mungu wenu, aniondolee kifo hiki tu.

Shirikisha
Kutoka 10 SRUV

Kutoka 10:17 NEN (Neno)

Sasa unisamehe dhambi yangu mara moja tena na umwombe BWANA Mungu wako aondoe pigo hili baya kwangu.”

Shirikisha
Kutoka 10 NEN