Kutoka 11:9
Kutoka 11:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA alikuwa amemwambia Mose, “Farao atakataa kukusikiliza, ili maajabu yangu yapate kuongezeka katika nchi ya Misri.”
Shirikisha
Soma Kutoka 11Kutoka 11:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Farao hatakusikiliza, ili maajabu yangu yapate kuongezeka nchini Misri.”
Shirikisha
Soma Kutoka 11