Kutoka 12:14
Kutoka 12:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Vizazi hata vizazi mtaadhimisha tukio hilo kwa sikukuu kubwa kwa heshima yangu mimi Mwenyezi-Mungu. Hilo litakuwa agizo la milele kwenu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 12Kutoka 12:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na siku hii itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mtaifanya iwe sikukuu kwa BWANA; mtaifanya iwe sikukuu katika vizazi vyenu vyote, kwa amri ya milele
Shirikisha
Soma Kutoka 12