Kutoka 14:13
Kutoka 14:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
Shirikisha
Soma Kutoka 14Kutoka 14:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
Shirikisha
Soma Kutoka 14