Kutoka 14:16
Kutoka 14:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.
Shirikisha
Soma Kutoka 14Kutoka 14:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe inua fimbo yako, ukanyoshe mkono wako juu ya bahari, na kuigawanya; nao wana wa Israeli watapita kati ya bahari katika nchi kavu.
Shirikisha
Soma Kutoka 14