Kutoka 14:31
Kutoka 14:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Waisraeli walipoona tendo hilo la ajabu alilofanya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Wamisri, wakamcha, wakawa na imani na Mwenyezi-Mungu na Mose mtumishi wake.
Shirikisha
Soma Kutoka 14Kutoka 14:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Israeli akaiona ile kazi kubwa aliyoifanya BWANA juu ya Wamisri, ndipo hao watu wakamcha BWANA, wakamwamini BWANA, na Musa mtumishi wake.
Shirikisha
Soma Kutoka 14