Kutoka 15:11
Kutoka 15:11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ewe Mwenyezi-Mungu, ni nani kati ya miungu anayelingana nawe? Ni nani aliye kama wewe uliye mtakatifu mkuu, utishaye kwa matendo matukufu, unayetenda mambo ya ajabu?
Shirikisha
Soma Kutoka 15Kutoka 15:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe? Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?
Shirikisha
Soma Kutoka 15