Kutoka 15:2
Kutoka 15:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu na uwezo, yeye mwenyewe ndiye anayeniokoa. Yeye ni Mungu wangu nami nitamsifu, ni Mungu wa baba yangu nami nitamtukuza.
Shirikisha
Soma Kutoka 15Kutoka 15:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza.
Shirikisha
Soma Kutoka 15