Kutoka 18:19
Kutoka 18:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sikiza sasa neno langu, nitakupa shauri, na Mungu na awe pamoja nawe; uwe wewe kwa ajili ya watu mbele ya Mungu, nawe umletee Mungu maneno yao
Shirikisha
Soma Kutoka 18Kutoka 18:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Sikiliza shauri langu kwako, na Mungu awe pamoja nawe. Wewe utawawakilisha watu mbele ya Mungu na kumletea Mungu matatizo yao.
Shirikisha
Soma Kutoka 18