Kutoka 20:2-3
Kutoka 20:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchini Misri, ambako ulikuwa mtumwa. “Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Shirikisha
Soma Kutoka 20