Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 21:10 - Linganisha Matoleo Yote

Kutoka 21:10 BHN (Biblia Habari Njema)

Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa.

Shirikisha
Kutoka 21 BHN

Kutoka 21:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwamba ajitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia.

Shirikisha
Kutoka 21 SUV

Kutoka 21:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akijitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia.

Shirikisha
Kutoka 21 SRUV

Kutoka 21:10 NEN (Neno)

Ikiwa huyo mwana aliyeozwa mtumwa mwanamke ataoa mwanamke mwingine, ni lazima aendelee kumtosheleza huyo mke wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zote za ndoa.

Shirikisha
Kutoka 21 NEN