Kutoka 22:21
Kutoka 22:21 Biblia Habari Njema (BHN)
“Msimdhulumu mgeni wala kumtesa, maana nanyi pia mlikuwa wageni nchini Misri.
Shirikisha
Soma Kutoka 22Kutoka 22:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usimwonee mgeni, wala kumtendea jeuri; kwa kuwa ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri.
Shirikisha
Soma Kutoka 22