Kutoka 22:25
Kutoka 22:25 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ukimkopesha fedha mtu yeyote miongoni mwa watu wangu walio maskini, usiwe kwake kama mdai, wala usimtoze riba.
Shirikisha
Soma Kutoka 22Kutoka 22:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ukimkopesha mtu aliye maskini, katika watu wangu walio pamoja nawe; usiwe kwake mfano wa mwenye kumdai; wala hutamwandikia faida.
Shirikisha
Soma Kutoka 22