Kutoka 23:1
Kutoka 23:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usivumishe habari za uongo; usishirikiane na mwovu kwa kuwa shahidi wa uongo.
Shirikisha
Soma Kutoka 23Kutoka 23:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Usitoe habari za uongo. Usishirikiane na mtu mwovu ili kuwa shahidi mbaya.
Shirikisha
Soma Kutoka 23