Kutoka 23:20
Kutoka 23:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokuandalia.
Shirikisha
Soma Kutoka 23Kutoka 23:20 Biblia Habari Njema (BHN)
“Tazameni, mimi namtuma malaika awatangulie safarini ili awalinde na kuwafikisha katika nchi niliyowatayarishia.
Shirikisha
Soma Kutoka 23