Kutoka 23:22
Kutoka 23:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ukiisikiza sauti yake kweli, na kuyatenda yote ninenayo mimi; ndipo mimi nitakuwa ni adui wa adui zako, na mtesi wa hao wakutesao.
Shirikisha
Soma Kutoka 23Kutoka 23:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mkimsikiliza kwa makini na kufanya yote asemayo, mimi nitakuwa adui wa adui zenu na mpinzani wa wapinzani wenu.
Shirikisha
Soma Kutoka 23