Kutoka 23:25-26
Kutoka 23:25-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.
Shirikisha
Soma Kutoka 23Kutoka 23:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtanitumikia mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nami nitawabariki kwa chakula na maji na kuyaondoa magonjwa kati yenu. Hakutakuwa na mwanamke yeyote atakayepoteza mimba wala kuwa tasa katika nchi yenu. Nami nitawajalia maisha marefu.
Shirikisha
Soma Kutoka 23Kutoka 23:25-26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Kutoka 23