Kutoka 24:12
Kutoka 24:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Njoo huku juu kwangu mlimani, uwe huku; nami nitakupa vibao vya mawe na ile sheria na hiyo amri niliyoiandika ili uwafundishe.
Shirikisha
Soma Kutoka 24Kutoka 24:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Njoo kwangu juu mlimani, ungoje huko. Mimi nitakupa vibao viwili vya mawe vyenye sheria na amri nilizoandika kwa ajili ya kuwafunza Waisraeli.”
Shirikisha
Soma Kutoka 24