Kutoka 24:16
Kutoka 24:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na huo utukufu wa BWANA ukakaa juu ya mlima wa Sinai; lile wingu likaufunikiza siku sita; na siku ya saba akamwita Musa toka kati ya lile wingu.
Shirikisha
Soma Kutoka 24Kutoka 24:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukatua juu ya mlima Sinai na wingu likaufunika mlima kwa muda wa siku sita. Siku ya saba Mungu akamwita Mose kutoka katikati ya lile wingu.
Shirikisha
Soma Kutoka 24