Kutoka 24:17-18
Kutoka 24:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kuonekana kwake ule utukufu wa BWANA kulikuwa kama moto uteketezao, juu ya mlima machoni pa wana wa Israeli. Musa akaingia ndani ya lile wingu, akapanda mlimani; Musa akawa humo katika ule mlima siku arubaini, mchana na usiku.
Shirikisha
Soma Kutoka 24Kutoka 24:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulionekana mbele ya macho ya watu wa Israeli kama moto unaowaka juu ya mlima. Mose akaingia ndani ya lile wingu, akapanda mlimani. Alikaa huko kwa muda wa siku arubaini, mchana na usiku.
Shirikisha
Soma Kutoka 24Kutoka 24:17-18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na kuonekana kwake ule utukufu wa BWANA kulikuwa kama moto uteketezao, juu ya mlima machoni pa wana wa Israeli. Musa akaingia ndani ya lile wingu, akapanda mlimani; Musa akawa humo katika ule mlima siku arobaini, mchana na usiku.
Shirikisha
Soma Kutoka 24