Kutoka 25:8-9
Kutoka 25:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao na wanifanyie patakatifu; ili nipate kukaa kati yao. Sawasawa na haya yote nikuoneshayo, mfano wa maskani, na mfano wa samani zake zote, ndivyo mtakavyovifanya.
Shirikisha
Soma Kutoka 25Kutoka 25:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Vilevile Waisraeli watanitengenezea hema takatifu, ili niweze kukaa kati yao. Utatengeneza hema hiyo na vifaa vyake kulingana na mfano nitakaokuonesha.
Shirikisha
Soma Kutoka 25