Kutoka 28:4
Kutoka 28:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mavazi watakayoyafanya ni haya; kifuko cha kifuani, na naivera, na joho, na kanzu ya kazi ya urembo; na kilemba, na mshipi; nao watawafanyia Haruni nduguyo, na wanawe, mavazi matakatifu ili anitumikie katika kazi ya ukuhani.
Shirikisha
Soma Kutoka 28Kutoka 28:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Waambie wamtengenezee vitu vifuatavyo: Kifuko cha kifuani, kizibao, kanzu, joho iliyonakshiwa, kilemba na mshipi. Aroni nduguyo na wanawe watayavaa ili wanitumikie kama makuhani.
Shirikisha
Soma Kutoka 28Kutoka 28:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Kutoka 28