Kutoka 3:5
Kutoka 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Usije karibu! Vua viatu vyako kwa sababu mahali unaposimama ni mahali patakatifu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni mahali patakatifu.
Shirikisha
Soma Kutoka 3