Kutoka 31:17
Kutoka 31:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Jambo hili litakuwa ishara ya kudumu kati ya Waisraeli na mimi, maana mimi Mwenyezi-Mungu nilifanya mbingu na dunia kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba niliacha kufanya kazi, nikapumzika.”
Shirikisha
Soma Kutoka 31Kutoka 31:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni ishara kati ya mimi na wana wa Israeli milele; kwani kwa siku sita BWANA alifanya mbingu na nchi, akapumzika kwa siku ya saba na kustarehe.
Shirikisha
Soma Kutoka 31