Kutoka 38:1
Kutoka 38:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Alitengeneza madhabahu kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa. Madhabahu hiyo ilikuwa ya mraba, mita mbili na robo kwa mita 2.25, na kimo chake mita 1.25.
Shirikisha
Soma Kutoka 38Kutoka 38:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisha akafanya hiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, ya mti wa mshita urefu wake ulikuwa dhiraa tano, na upana wake ulikuwa dhiraa tano, ilikuwa mraba; na kwenda juu kwake kulikuwa dhiraa tatu.
Shirikisha
Soma Kutoka 38