Kutoka 39:32
Kutoka 39:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kazi yote ya hema la mkutano ikamalizika. Waisraeli walifanya yote kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Shirikisha
Soma Kutoka 39Kutoka 39:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ndivyo ilivyomalizwa kazi yote ya maskani ya hema ya kukutania; na wana wa Israeli walifanya kama yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyofanya.
Shirikisha
Soma Kutoka 39