Kutoka 39:43
Kutoka 39:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose alikagua kila kitu, akaridhika kwamba walikuwa wamefanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyoamuru. Hivyo Mose akawabariki.
Shirikisha
Soma Kutoka 39Kutoka 39:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo hivyo; basi Musa akawaombea heri.
Shirikisha
Soma Kutoka 39