Kutoka 4:10
Kutoka 4:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Ewe Bwana wangu, mimi sina ufasaha wa kuongea tangu zamani; hata baada ya wewe kusema nami mtumishi wako. Ulimi wangu ni mzito.”
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mose akamwambia BWANA, “Ee Bwana, kamwe sijapata kuwa msemaji kwa ufasaha wakati uliopita wala tangu ulipoanza kuzungumza na mtumishi wako. Ulimi wangu ni mzito kuzungumza.”
Shirikisha
Soma Kutoka 4