Kutoka 40:38
Kutoka 40:38 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika safari zao zote, Waisraeli waliweza kuliona lile wingu la Mwenyezi-Mungu juu ya hema wakati wa mchana na ule moto ukiwaka juu yake usiku.
Shirikisha
Soma Kutoka 40Kutoka 40:38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana lile wingu la BWANA lilikuwa juu ya maskani wakati wa mchana, na mlikuwa na moto ndani yake wakati wa usiku, mbele ya macho ya nyumba ya Israeli katika safari zao zote.
Shirikisha
Soma Kutoka 40