Kutoka 5:22
Kutoka 5:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mose akamgeukia tena Mwenyezi-Mungu, akasema, “Ee Mwenyezi-Mungu, kwa nini unawatendea watu hawa uovu? Kwa nini hata ulinituma?
Shirikisha
Soma Kutoka 5Kutoka 5:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akarudi kwa BWANA, akasema, BWANA, mbona umewatenda mabaya watu hawa? Kwani kunituma mimi?
Shirikisha
Soma Kutoka 5