Kutoka 5:23
Kutoka 5:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Tangu nilipokwenda na kuongea na Farao kwa jina lako, yeye amewatendea uovu watu hawa. Wewe hujafanya lolote kuwakomboa watu wako.”
Shirikisha
Soma Kutoka 5Kutoka 5:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana tangu nilipokwenda kwa Farao, kusema naye kwa jina lako, amewatenda mabaya watu hawa; wala hukuwaokoa watu wako hata kidogo.
Shirikisha
Soma Kutoka 5